Blani
Blani (kwa Kieire: Blaan; alifariki 590 hivi) alikuwa askofu wa Wapiti wa Uskoti[1], akiwa na makao labda Dunblane.
Mzaliwa wa kisiwa cha Bute, alilelewa huko Ireland akawa mmonaki [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3]. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 11 Julai 1898[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ O'Malia, Miles Joseph. "St. Blane." The Catholic Encyclopedia. Vol. 2. New York: Robert Appleton Company, 1907. 15 Apr. 2013
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/65830
- ↑ Patrologia Latina, vol. CXXIV (1879), col. 352.
- ↑ Index ac status causarum (1999), pp. 403 e 597.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
- Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969. (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |