Bomoa Mipango
Bomoa Mipango ni albamu ya Dknob ya mwaka wa 2008. Albamu ina nyimbo zipatazo kumi. Albamu imeshirikisha wasanii kabambe wa muziki wa wa kizazi kipya, wasanii hao ni kama vile Squeezer, Benjamin, Q Jay, Ray C, Soprano na Only Face. Albamu inasambazwa na kampuni ya Mitaani Most Wanted Entertainment, ambayo ni kampuni ya burudani ya mwanamuziki Dknob. Kwa mauzo ya nje, albamu inasambazwa na Mwamba Production ya nchini Finland.
Bomoa Mipango | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kava ya albamu ya Bomoa Mipango.
|
|||||
Studio album ya Dknob | |||||
Imetolewa | 1 Julai 2008 | ||||
Imerekodiwa | 2007-2008 | ||||
Aina | Hip hop laini | ||||
Lugha | Kiswahili | ||||
Lebo | Mwamba Production MJ Records Mid Man Records |
||||
Mtayarishaji | Miikka Mwamba Master Jay Producer Jonas Bizz Man |
||||
Wendo wa albamu za Dknob | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Dknob | |||||
Nyimbo zilizopo katika albamu
hariri- Dakika Tatu
- Yupi ni Yupi - Akimsh. Benjamin
- Ingewezekana - Akimsh. Ray C na Squeezer
- Juhudi za Msela
- Dear Mtoto
- We Unasemaje - Akimsh. Benjamin
- Mfalme wa Mitaani - Akimsh. Only Face
- Kitu Gani - Akimsh. Q Jay
- We Unasemaje (rmx) - Akimsh. Benjamin
- Kitu Gani (rmx) - Akimsh. Q Jay
Nyimbo zote zimetayarishwa na Miikka Mwamba kasoro Na. 3 (Mj Records) na Na. 4 (Mid Man Records).
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri