Borja Mayoral

Mchezaji wa soka wa Hispania

Borja Mayoral Moya (alizaliwa tarehe 5 Aprili 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji katika timu ya klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Hispania.

Borja Mayoral
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaHispania Hariri
Nchi anayoitumikiaHispania Hariri
Jina katika lugha mamaBorja Mayoral Hariri
Jina la kuzaliwaBorja Mayoral Moya Hariri
Jina halisiBorja Hariri
Jina la familiaMayoral Hariri
PseudonymEl Mirlo Hariri
Tarehe ya kuzaliwa5 Aprili 1997 Hariri
Mahali alipozaliwaParla Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKihispania Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Muda wa kazi18 Januari 2015 Hariri
Medical conditiontype-1 diabetes Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji21 Hariri
Ameshiriki2019 UEFA European Under-21 Championship Hariri
LigiBundesliga Hariri

Maisha

hariri

Borja Mayoral alizaliwa huko Parla, Madrid. Mayoral alijiunga na vijana wa timu ya Real Madrid mwaka 2007.

Mwaka 2014, alijumuishwa katika kikosi A cha Juvenil, na pia alifunga magoli saba katika Ligi ya Vijana ya UEFA, ikiwa ni pamoja na magoli matatu(Hat-trick) katika ushindi wa kikundi cha PFC Ludogorets Razgrad.

Tarehe 2 Machi 2016, kutokana na kuumia kwa Karim Benzema, meneja Zinedine Zidane alimpa Borja Mayoral nafasi ya kucheza kwa mara ya kwanza katika mechi ya Real Madrid dhidi ya Levante UD. Siku ya mwisho ya msimu wa akiba, alifunga mara mbili kwa ushindi wa 6-1 dhidi ya La Roda CF.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Borja Mayoral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.