Bruno wa Koln (pia: Bruno Mkuu; Mei 925 - Reims, leo nchini Ufaransa, 11 Oktoba 965) alikuwa askofu mkuu wa Koln kuanzia mwaka 953 [1] na mtawala wa Lotharingia kuanzia mwaka 954) hadi kifo chake.

Mchoro mdogo ukimuonyesha Mt. Bruno.

Mdogo wa mwisho wa Otto I[1], kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma, alifaulu kutimiza majukumu yake ya kikuhani kwa bidii kubwa na yale ya siasa kwa moyo mkuu kadiri ya mahitaji ya wakati wake[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[3] kama mtakatifu, ingawa alitangazwa rasmi na Papa Pius IX mwaka 1870[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa kwenye 11 Oktoba.[5]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Religious Drama and Ecclesiastical Reform in the Tenth Century, James H. Forse, Early Theatre, Vol. 5, No. 2 (2002), 48.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91267
  3. "Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome".
  4. Henry Mayr-Harting (2007), Church and Cosmos in Early Ottonian Germany: The View from Cologne, Oxford University Press, uk. xvii.
  5. Martyrologium Romanum

Vyanzo

hariri
  • Timothy Reuter, Germany in the early Middle Ages (1991, Longman. ISBN 0-582-49034-0 )
  • Pierre Riché, The Carolingians: a family who forged Europe (translator Michael Idomir Allen, 1993, University of Pennsylvania Press. ISBN 0-8122-1342-4)
  • Carl Dietmar and Werner Jung, Kleine illustrierte Geschichte der Stadt Köln (9th edition, 2002, J. P. Bachem Verlag, Köln. ISBN 3-7616-1482-9)
  • Cora E. Lutz, Schoolmasters of the Tenth Century. Archon Books 1977.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.