DJ Yella
DJ Yella ni jina la kisanii la Antoine Carraby (amezaliwa tar. 11 Desemba 1967) ni DJ, mtayarishaji wa mzuiki na mwongozaji wa filamu kutoka mjini Compton, California, Marekani.[1] Yella pia alikuwa mmoja wa wanachama wa kundi la muziki linalojulikana kama World Class Wreckin' Cru akiwa pamoja na Bw. Dr. Dre. Baadaye akaja kuwa mmoja wa waanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop maarufu kama N.W.A. (akiwemo Yella, Dre, Ice Cube, MC Ren, na Eazy-E). Akiwa pamoja na Dre Yella akafanikisha kurekodiwa kwa albamu ya mwenziwao (Eazy-E). Albamu ilikwenda kwa jina la Eazy Duz It.
Dj Yella | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Dj Yella |
Nchi | Marekani |
Alizaliwa | 11 Desemba 1967 |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1984 - 1996
1999 - 2002 2007 - hadi leo |
Ameshirikiana na | World Class Wreckin' Cru N.W.A |
Albamu alizotoa
haririMaelezo ya albamu |
---|
One Mo Nigga Ta Go |
Akiwa na World Class Wreckin' Cru
haririBefore You Turn off The Lights
Mission Possible / He's Bionic
Akiwa na N.W.A.
haririMaelezo ya albamu |
---|
N.W.A. and the Posse
|
Straight Outta Compton
|
100 Miles and Runnin'
|
Efil4zaggin |
Kompilesheni
haririMaelezo ya albamu |
---|
Greatest Hits |
The N.W.A. Legacy, Vol. 1: 1988-1998 |
The N.W.A. Legacy, Vol. 2 |
The Best of N.W.A. - The Strength of Street Knowledge |
Albamu alizotoa akiwa na kundi la World Class Wreckin' Cru
hariri- Surgery (1984)
- Bust It Up 2 + 1 (1985)
- Juice (1985)
- World Class (1985)
- He's Bionic/The Fly (1986)
- Love Letter (1986)
- Mission Possible (7") (1986)
- Mission Possible/World Class Freak (1986)
- Rapped In Romance (1986)
- The Fly (1986)
- The Best Of The World Class Wreckin' Cru (1987)
- Turn Off The Lights (1987)
- Lay Your Body Down (1988)
- World Class Mega Mix 89 (1989)
- House Fly (1990)
- Phases In Life (1990)
Marejeo ya nje
haririViungo vya nje
hariri- DJ Yella's official site (Ilani: Tovuti hii kuna picha za kikubwa)
- Yella speaks out on the rise and fall of hardcore Ilihifadhiwa 9 Juni 2009 kwenye Wayback Machine.
- Davey D interviews Yella
- DubCNN.com interview with Yella