Dasio, Zotiko na Kayo
Dasio, Zotiko na Kayo (walifariki 303) ni Wakristo wa Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki ambao waliuawa kwa kutoswa baharini wamefungiwa mawe makubwa shingoni wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano kwa kusingiziwa kwamba walichoma ikulu yake [1].
Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |