Deodati wa Nola (alifariki 26 Juni 473) alikuwa askofu wa 6 wa Nola, karibu na Napoli, Italia Kusini[1], baada ya kuwa shemasi wa Paulino wa Nola, mtangulizi wake.

Tangu kale ametambuliwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.