Desiree wa Besancon

Desiree wa Besancon (kwa Kifaransa: Desiré; kwa Kilatini: Desideratus; aliishi karne ya 5 hivi) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 24 Novemba 1900[4].

Sikukuu yake ni tarehe 27 Julai[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. III, pp. 198 e 201. Gallia christiana, vol. XV, col. 7.
  2. Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. III, p. 210. Bataille, Bibliotheca Sanctorum, vol. IV, col. 578. Aubert, Dictionnaire d'histoire et de géographie ecclésiastiques, vol. XIV, col. 343.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/64560
  4. Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999, pp. 452 e 599.
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.