Diomede wa Nisea

Diomede wa Nisea (Tarso, Kilikia, leo nchini Uturuki, karne ya 3 - Nisea, Bitinia, leo nchini Uturuki, 303 hivi) alikuwa mganga Mkristo ambaye kwa imani yake hiyo aliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Mt. Diomede katika mchoro wa ukutani ulioko kwenye Mlima Athos, Ugiriki.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Juni[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.