Egwini wa Evesham
Egwini wa Evesham, O.S.B. (Worcester, Uingereza, karne ya 7 - Evesham, 30 Desemba 717 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Mercia (Uingereza) aliyefanywa askofu wa 3 wa jimbo la Worcester.
Alijitahidi kurekebisha maadili ya mapadri na walei na kwa ajili hiyo alipingwa sana[1].
Hatimaye alianzisha monasteri ya Evesham[2][3].
Anaheshimiwa tangu kale na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Macpherson, Ewan. "St. Egwin." The Catholic Encyclopedia. Vol. 5. New York: Robert Appleton Company, 1909. 17 May 2013
- ↑ Foley, O.F.M., Leonard. Saint of the Day, Lives, Lessons, and Feast, (revised by Pat McCormack), Franciscan Media Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. ISBN 978-0-86716-887-7
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/83460
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Fryde, E. B.; Greenway, D. E.; Porter, S.; Roy, I. (1996). Handbook of British Chronology (tol. la Third revised). Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 0-521-56350-X.
- Jennings, J. C. (Aprili 1962). "The Writings of Prior Dominic of Evesham". The English Historical Review. 77 (303): 298–304. doi:10.1093/ehr/LXXVII.CCCIII.298.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo mengine
hariri- Lapidge, Michael, mhr. (2009). Byrhtferth of Ramsey: The Lives of St Oswald and St Ecgwine. Oxford, UK: Clarendon Press. ISBN 978-0-19-955078-4.
Viungo vya nje
hariri- The Benedictines of Stanbrook. Saint Egwin and His Abbey of Evesham
- Butler, Alban. The Lives of the Saints, Vol. I, 1866
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |