Eleuteri wa Spoleto
Eleuteri wa Spoleto (alifariki kabla ya 593) alikuwa abati wa monasteri aliyoianzisha karibu na mji wa Spoleto, Italia, mwaka 535[1].
Papa Gregori I, aliyefanyiwa naye muujiza fulani, alimsifu kwa kuwa na unyofu na moyo wa toba.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Septemba[2].
Tazama pia
haririMarejeo
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |