Elizabeti wa Urusi
Elizabeti wa Urusi (kwa Kirusi Елизавета Фёдоровна Романова, Elizabeth Feodorovna Romanova; 1 Novemba 1864 – 18 Julai 1918) alikuwa mwanamke wa ukoo tawala wa jimbo mojawapo la Ujerumani aliyeolewa na mtoto wa tano wa kaisari Alexander II wa Russia.
Baada ya mumewe kuuawa kwa bomu mwaka 1905, Elisabeti alimsamehe muuaji, Ivan Kalyayev, na kujitahidi asiadhibiwe.
Kisha kuhama ikulu, akawa mmonaki akaanzisha konventi ya Marfo-Mariinsky ili kusaidia pia maskini wa Moscow.
Mwaka 1918 alikamatwa na kuuawa na Wakomunisti.
Elizabeti alitagazwa na Waorthodoksi kuwa mtakatifu mwaka 1981 na mwaka 1992.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Paleologue, Maurice. An Ambassador's Memoirs, 1922
- Grand Duchess Marie of Russia. Education of a Princess, 1931
- Queen Marie of Romania. The Story of My Life, 1934
- Almedingen, E.M. An Unbroken Unity, 1964
- Duff, David. Hessian Tapestry, 1967
- Millar, Lubov, Grand Duchess Elizabeth of Russia, US edition, Redding, California., 1991, ISBN 1-879066-01-7
- Mager, Hugo. Elizabeth, Grand Duchess of Russia, 1998, ISBN 0-7867-0509-4
- Zeepvat, Charlotte. Romanov Autumn, 2000, ISBN 5-8276-0034-2
- Belyakova, Zoia. The Romanovs: the Way It Was, 2000, ISBN 5-8276-0034-2
- Warwick, Christopher Ella: Princess, Saint and Martyr, 2007, ISBN 047087063X
- Croft, Christina Most Beautiful Princess — A Novel Based on the Life of Grand Duchess Elizabeth of Russia, 2008, ISBN 0-9559853-0-7
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Vyanzo vya Kiorthodoksi
hariri- Life of the Holy Royal Martyr Grand Duchess Elizabeth Ilihifadhiwa 18 Januari 2013 kwenye Wayback Machine.
- Life of the Holy New Martyr Grand Duchess Elizabeth, by Metropolitan Anastassy
- Pilgrimage to Alapaevsk Ilihifadhiwa 6 Mei 2021 kwenye Wayback Machine.
- Photo Library of Saint Elizabeth Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- OrthodoxWiki:Elizabeth the New Martyr
Tenzi kwa heshima yake
hariri- Akathist to the New Martyr Elizabeth Ilihifadhiwa 10 Septemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- Canon to the Holy and Righteous Nun-Martyrs Elizabeth and Barbara New Martyrs of Russia Ilihifadhiwa 2 Februari 2019 kwenye Wayback Machine.
Vyanzo visivyo vya kidini
hariri- Murder details
- The Alexander Palace Time Machine
- American Reporter Interviews Elisabeth in 1917
- HIH Grand Duchess Elisabeth Feodorovna by Countess Alexandra Olsoufieff
- Romanov Discussion Forum Ilihifadhiwa 14 Januari 2018 kwenye Wayback Machine.
- Murder of the Romanovs at Alapayevsk
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |