Emanueli Miguez, S.P. (jina la kitawa: Faustino wa Umwilisho; 24 Machi 1831 - 8 Machi 1925) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania na mwanzilishi wa shirika la Mabinti wa Mchungaji wa Kike wa Kimungu kwa ajili ya malezi ya vijana.

Picha yake halisi.

Pamoja na kujitosa katika ufundishaji, hata akapata sifa kubwa kama mwalimu na mwanasayansi, hakuacha juhudi katika uchungaji wa aina nyingine.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 25 Oktoba 1998, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Oktoba 2017.

Sikukuu yake inaadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.