Eneo bunge la Kisumu Rural

Eneo bunge la Kisumu Rural (pia: Kisumu Mashinani) lilikuwa jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja ya majimbo matatu ya Wilaya ya Kisumu. Jimbo hilo lilikuwa na Wodi nane, zote zikiwachagua Madiwani kwa Baraza la Kisumu County.

Lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Awali jimbo hili lilikuwa likiwakilishwa na Robert Ouko, mwanasiasa ambaye baadaye aliuawa. Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988, Ouko alihamia Kisumu Town (Kisumu Mjini) (baadaye liligawanywa kuwa majimbo ya Kisumu Mjini Mashariki na Kisumu Mjini Magharibi).

Wabunge

hariri
Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Tom Okelo Odongo KPU
1969 William Ndolo Ayah KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Wycliffe Onyango Ayoki KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Robert Ouko KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Robert Ouko KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Wilson Ndolo Ayah KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Peter Anyang' Nyong'o Ford-K
1997 Winston Ochoro Ayoki NDP
2002 Peter Anyang' Nyong'o NARC
2007 Peter Anyang' Nyong'o ODM

Lokesheni na wodi

hariri
Lokesheni
Lokesheni Idadi ya Watu*
East Seme 15,698
North Central Seme 16,398
North West Kisumu 23,144
Otwenya 15,759
South Central Seme 23,057
South West Seme 15,671
West Kisumu 20,547
West Seme 14,100
Jumla x
1999 census.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliosajiliwa
East Seme 4,706
North Central Seme 4,997
North West Kisumu 5,779
Otwenya 4,723
South Central Seme 6,898
South West Seme 5,187
West Kisumu 6,130
West Seme 4,489
Jumla 42,909
*Septemba 2005 [2].

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri