Eneo bunge la Kisumu Mashariki


Eneo bunge la Kisumu Mashariki ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili liinapatikana katika Kaunti ya Kisumu, miongoni mwa majimbo saba katika kaunti hiyo. Lina wodi sita, zote zikichagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Kisumu.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilibuniwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997 kupatikana kwa kugawanywa kwa jimbo kubwa la Kisumu Mjini kuwa Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Mashariki na Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Magharibi.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Gor Sunguh NDP
2002 Gor Sunguh NARC
2007 Ahmed Shakeel Shabbir Ahmed ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Central Kolwa 5,831
East Kajulu 4,357
East Kolwa 6,158
Manyatta 14,520
Nyalenda 8,228
West Kajulu 4,869
Jumla 43,963
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri