Eneo bunge la Kisumu Magharibi


Eneo bunge la Kisumu Magharibi ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kisumu miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo. Lina wodi 11, zote zikichagua madiwani kwa munisipali ya Kisumu.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997 kwa kugawanywa kwa jimbo kubwa la Kisumu Mjini.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Job Omino NDP
2002 Job Omino NARC
2003 Kennedy Odhiambo Nyagudi NARC Uchaguzi Mdogo
2007 John Olago Aluoch ODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Aerodrome 2,676
Kaloleni / Shauri Moyo 3,623
Kibuye 5,655
Kisumu Central 9,054
Kisumu East 5,347
Kisumu North 4,873
Market 7,478
Milimani 8,441
Railway 11,855
South West Kisumu 6,724
Stadium 5,307
Jumla 71,033
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri