Erasmo wa Formia

Erasmo wa Formia (pia: Elmo; alifariki Formia, leo katika mkoa wa Lazio, Italia, 303 hivi) alikuwa askofu aliyeuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian dhidi ya imani hiyo[1][2][3][4].

Kifodini cha Mt. Erasmus, Poussin.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[5].

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 2 Juni[6].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.