Ethelbert (kwa Kiingereza cha Zamani Æðelberht, matamshi: ˈæðelberxt; 560 hivi – 24 Februari 616) alikuwa mfalme wa Kent (Uingereza) kuanzia mwaka 589 hivi hadi kifo chake. Ni mfalme wa kwanza wa nchi hiyo kuongokea Ukristo alipomfuata mke wake Bertha kwa mahubiri ya Augustino wa Canterbury.

Sanamu ya Mt. Æthelberht katika kanisa kuu la Rochester.
Utawala wa Waanglo-Saksoni Æthelberht alipopata kuwa mfalme wa Kent.

Baada ya hapo makanisa yakajengwa sehemu mbalimbali na dini hiyo mpya ilienea kati ya Waangli na Wasaksoni.

Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki tarehe 25 Februari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Vyanzo vikuu

  • Bede (1991). D.H. Farmer, ed. Ecclesiastical History of the English People. Revised by R.E. Latham. London: Penguin. ISBN 0-14-044565-X.  Unknown parameter |translator= ignored (|others= suggested) (help)
  • Swanton, Michael (1996). The Anglo-Saxon Chronicle. New York: Routledge. ISBN 0-415-92129-5. 
  • Law-code of Æthelberht, ed. and tr. F. Liebermann, Die Gesetze der Angelsachsen. 3 vols. Halle, 1898–1916: 3–8 (vol 1); ed. and tr. L. Oliver, The Beginnings of English Law. Toronto Medieval Texts and Translations. Toronto, 2002.
  • Letters of Gregory the Great, ed. D. Norberg, S. Gregorii magni registrum epistularum. 2 vols. Turnhout, 1982; tr. J.R.C. Martyn, The letters of Gregory the Great. 3 vols. Toronto, 2004.
  • Earliest vita of Gregory the Great, ed. and tr. Bertram Colgrave, The earliest life of Gregory the Great by an anonymous monk of Whitby. Lawrence, 1968.
  • Gregory of Tours, Libri Historiarum.

Vyanzo vingine

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.