Eudoni abati

Eudoni abati (alifariki Vélay, Akwitania, leo nchini Ufaransa, karne ya 7 hivi) alikuwa mmonaki anayetajwa kama mwanzilishi wa monasteri[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Novemba[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • Pierre Cubizolles, Le diocèse du Puy-en-Velay : Des origines à nos jours, éditions CREER, 2005, ISBN 2848190302, 9782848190303.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.