Eumeni wa Gortina (pia: Eumenes, Eumenius, Emenaios; alifariki karne ya 7 hivi) ni kati ya maaskofu wa Gortina, Krete, leo nchini Ugiriki kabla hajahamia jangwa la Thebes, Misri, alipofariki akiwa mzee sana.

Mchoro mdogo unavyomuonyesha.

Anasifiwa kwa kutenda miujiza mingi kila alikokwenda[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Septemba[2][3][4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.