Eutropi wa Saintes

Eutropi wa Saintes (kwa Kifaransa: Eutrope, Estropi, Estroupiet, Ytrope; aliishi karne ya 3[1]) alikuwa askofu wa kwanza wa Saintes, Akwitania, leo nchini Ufaransa alikotumwa na Papa akitokea Roma[2] au Persia[3].

Sanamu inayotunza masalia yake.

Inasemekana aliuawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Ukristo lakini hakuna hakika[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kwama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Aprili[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/51320
  2. http://www.catholic.org/saints/saint.php?saint_id=3282
  3. http://www.newadvent.org/cathen/09006a.htm; cfr R. Couffon, "Notes sur les cultes de saint Jacques et de saint Eutrope en Bretagne." Memoires de la Société historique de Bretagne, 1968.
  4. Gregory of Tours mentions the tradition of Eutropius’ martyrdom in his work, but also notes that before Bishop Palladius of Saintes translated Eutropius’ relics around 590 to the Romanesque church of St. Eutropius in Saintes, no one really knew the legend of Eutropius.
  5. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.