Everadi wa Friuli (pia: Eberhard, Everard, Evrard, Erhard, Eberard, Everardus, Eberardus, Eberhardus, Evvrardus; 815 hivi - Italia, 16 Desemba, 867) alikuwa kabaila mkubwa, mwanasiasa, mwanajeshi na mwandishi ambaye, pamoja na kuoa na kuzaa watoto 8, alianzisha monasteri ya Wakanoni huko Cysoing, Ufaransa [1].

Mt. Everadi akiwa na taji kichwani.

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Theuws, Frans (2000). Rituals of Power: From Late Antiquity to the Early Middle Ages,503 pages/page 225, Christina La Rocca and Luigi Provero, THE DEAD AND THEIR GIFTS: THE WILL OF EBERHARD, COUNT OF FRIULI, AND HIS WIFE GISELA, DAUGHTER OF LOUIS THE PIOUS. Brill.
  • Morby, John (1989). Dynasties of the World: a chronological and genealogical handbook. Oxford University Press.
  • Louda, Jirí; MacLagan, Michael (1999). Lines of Succession: Heraldry of the Royal Families of Europe, 2nd edition. Little, Brown and Company.
  • Christina La Rocca e Luigi Provero, The Dead And Their Gifts: The Will Of Eberhard, Count Of Friuli, And His Wife Gisela, Daughter Of Louis The Pious, in Frans Theuws, Rituals of Power: From Late Antiquity to the Early Middle Ages, Brill 2000, p. 225.
  • John Morby, Dynasties of the World: a chronological and genealogical handbook, Oxford University Press, 1989.
  • Michael MacLagan, Lines of Succession: Heraldry of the Royal Families of Europe, New York - Toronto 1991

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.