Fausto, Dio na Amoni

Fausto, Dio na Amoni walikuwa mapadri wa Aleksandria (Misri) waliofia dini ya Ukristo pamoja na askofu wao Petro I wa Aleksandria na Neoteri na Theofilo tarehe 25 Novemba 311 chini ya kaisari Diocletian[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 8 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.