Fausto, Kayo na wenzao

Fausto, Kaio na wenzao Petro, Paulo, Eusebi, Keremone, Lucho na wengine wawili (walifariki 250-260) walikuwa Wakristo wa Misri walioteseka kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Decius na Valerian[1]. Fausto hatimaye aliuawa.

Shemasi Eusebi akawa askofu wa Laodikea.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Oktoba[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.