Felisi wa Valois, O.Ss.T. (Amiens, Ufaransa, 9 Aprili 1127 - Cerfroid, Ufaransa, 4 Novemba 1212) alikuwa kabaila ambaye aliacha mali yake awe padri wa Kanisa Katoliki, halafu mkaapweke[1], na hatimaye, pamoja na Yohane wa Matha. mwanzilishi mwenza wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukomboa Wakristo waliotekwa utumwani[2].

Mt. Felisi wa Valois
Sanamu ya Felisi wa Valois pamoja na Yohane wa Matha, Charles Bridge, Prague.

Papa Aleksanda VII alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Oktoba 1666[3] , halafu Papa Inosenti XI alimtangaza mtakatifu mwaka 1694.

Sikukuu yake ni tarehe 4 Novemba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. ""About the Trinitarians", The Trinitarians". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-03. Iliwekwa mnamo 2013-04-27.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/78450
  3. "Patron Saints Index: "Saint Felix of Valois"". Saints.sqpn.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-21. Iliwekwa mnamo 2013-10-20.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri

Marejeo mengine

hariri
  • (Kiitalia) Louis Alphen, La Francia: Luigi VI e Luigi VII (1108-1180), in «Storia del mondo medievale», vol. V, 1999, pp. 705–739
  • (Kiingereza) Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints, 1924.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.