Yohane wa Matha
Mtakatifu wa Ufaransa na kuhani wa Katoliki
Yohane wa Matha, O.Ss.T. (Faucon-de-Barcelonnette,[1] Ufaransa, 23 Juni 1154 - Roma, Italia, 17 Desemba 1213) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukomboa Wakristo waliotekwa utumwani[2].
Heshima aliyopewa tangu kale kama mtakatifu ilithibitishwa na Papa Alexander VII tarehe 21 Oktoba 1666.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ [1] Ilihifadhiwa 20 Julai 2011 kwenye Wayback Machine. Diocèse catholique de Digne: Situé près de Barcelonnette, Faucon est le village de naissance de Saint Jean de Matha, fondateur de l'ordre des Trinitaires en 1193. À l’altitude de 1150 mètres, c'est le plus vieux village de la vallée de l'Ubaye.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/35750
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. 1924.
- https://books.google.com/books?id=UBrBF9ovW1MC&dq=john+of+matha&pg=PA51 Stevens, Clifford. "St. John of Matha", One Year Book of Saints
Viungo vya nje
hariri- Catholic Encyclopedia: Order of Trinitarians
- Whittier, John Greenleaf, "The Mantle of St. John De Matha"
- Address Of John Paul II To The Participants In The General Chapter Of The Trinitarian Family, 26 August 1999
- Colonnade Statue in St Peter's Square
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |