Ferbuta (pia: Pherbutha, Thermutha, Thermo, Derphuta, Tartufa, Tbarbo; alifariki nchini Uajemi, 342 hivi) alikuwa mwanamke mjane Mkristo aliyeuawa pamoja na mjakazi wake kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II kama ilivyomtokea mwaka mmoja kabla kaka yake askofu mkuu Simeoni bar Sabas[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Aprili[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/48520
  2. A near-contemporary 5th century Christian work, the Ecclesiastical History of Sozomen, contains considerable detail on the Persian Christians martyred under Shapur II. Sozomen estimates the total number of Christians killed as follows: The number of men and women whose names have been ascertained, and who were martyred at this period, has been computed to be upwards of sixteen thousand, while the multitude of martyrs whose names are unknown was so great that the Persians, the Syrians, and the inhabitants of Edessa, have failed in all their efforts to compute the number. — Sozomen, in his Ecclesiastical History, Book II, Chapter XIV
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.