Filibati wa Jumieges
(Elekezwa kutoka Filibati wa Tournus)
Filibati wa Jumieges (Gascony, 616 – 20 Agosti 684) tangu ujanani, baada ya kulelewa katika ikulu, alikuwa mmonaki na mwaka 650 akawa abati[1].
Baadaye alianzisha monasteri mbili zilizofuata kanuni ya Mt. Kolumbani[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Farmer, David (ed.), 2004. Oxford Dictionary of Saints. Oxford: OUP (5th edn).
- Krusch, B. (ed.). Vita Filiberti (Monumenta Germaniae Historica, Scriptores Rerum Merovingicarum V, pp. 568–606).
- Poupardin, R., 1905. Monuments de l'histoire des abbayes de saint Philibert.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |