Fiorenzo wa Nebbio

Fiorenzo wa Nebbio (alifariki 484) alikuwa askofu wa Nebbio, katika kisiwa cha Corsica (leo nchini Ufaransa), alipopelekwa uhamishoni kutokana na dhuluma za Wavandali Waario dhidi ya Wakatoliki wa Afrika Kaskazini.

Hatimaye alifia dini kwa kukatwa kichwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Mei[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.