Fransisko Diaz, O.P. (Ecija, 2 Oktoba 1713Fuzhou, 28 Oktoba 1748) alikuwa padri kutoka Hispania aliyefanya umisionari barani Asia akauawa nchini China kwa ajili ya imani yake ya Kikristo.[1]

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Alitangazwa kuwa mtakatifu pamoja na wengine 119 waliofuata kifodini chake na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 2000.[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, lakini pamoja na wenzake ni tarehe 9 Julai.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Saint Francis Ferdinand de Capillas. Patron Saints Index. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-05-06. Iliwekwa mnamo 2008-04-24.
  2. Den hellige Frans Fernández de Capillas (1607-1648) (Norwegian). katolsk.no. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-04-24.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.