Fridolini wa Säckingen (alifariki karne ya 6 au karne ya 7) alikuwa mmonaki mmisionari kutoka Ireland, maarufu kwa kuinjilisha kabila la Waalamani na kuanzisha monasteri mbili huko Säckingen katika nchi ya Ujerumani ya leo baada ya kuzunguka sehemu mbalimbali za Ufaransa.

Sura yake katika bendera ya Glarus, Uswisi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 6 Machi[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.