Gary Grice (anafahamika kwa jina lake la kisanii GZA na The Genius; amezaliwa 22 Agosti, 1966) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Pia anajulikana kuwa mwanachama mwanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop za kigumu la Wu-Tang Clan na kujumuika nao kwenye albamu kadhaa - na baadaye kuja kama msanii wa kujitegemea na kupata mafanikio kibao.

GZA the Genius
GZA akitumbuiza kwenye tamasha la hip hop la Paid Dues
GZA akitumbuiza kwenye tamasha la hip hop la Paid Dues
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Gary Grice
Asili yake Brooklyn, New York
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mwanamashairi
Miaka ya kazi 1983 - hadi leo
Studio Cold Chillin' Records
Loud Records
Geffen Records
MCA Records
Angeles Records
Babygrande Records
Ame/Wameshirikiana na Wu-Tang Clan

Diskografia

hariri
Mwaka Jina Nafasi za Chati[1][2] RIAA
certifications[3]
Billboard 200 Top R&B/Hip-Hop Albums Top Rap Albums
1991 Words from the Genius - - -
1995 Liquid Swords 9 2 - Platinum
1999 Beneath the Surface 9 1 1 Gold
2002 Legend of the Liquid Sword 75 21 8
2005 Grandmasters (akiwa na DJ Muggs) 180 69 13
2007 GrandMasters Remix Album (akiwa na DJ Muggs)
  • Imetolewa: 2007
  • Studio: Angeles Records
- - -
2008 Pro Tools 52 13 28,500+[4]

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu GZA kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.