Gaspare del Bufalo

(Elekezwa kutoka Gaspare Del Bufalo)

Gaspare del Bufalo (6 Januari 178628 Desemba 1837) alikuwa padri Mkatoliki wa Roma (Italia) aliyeanzisha shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ambalo limeenea hata Tanzania.

Mt. Gaspare katika vazi rasmi la kipadri.

Papa Pius X alimtangaza mwenye heri mwaka 1904, halafu Papa Pius XII alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Juni 1954.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. "The Penguin Dictionary of Saints," 3rd edition, New York: Penguin Books, 1993. ISBN|0-14-051312-4.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.