Gavino (alifariki Turris, leo Porto Torres katika kisiwa cha Sardinia, leo nchini Italia, 25 Oktoba 303 hivi) alikuwa askari wa Dola la Roma ambaye aliongokea Ukristo akauawa kwa hiyo imani yake mpya wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano [1].

Altare yenye masalia yake.
Basilika-kanisa kuu la Olbia lililojengwa kwa heshima yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 30 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.