Gervasi na Protasi

Gervasi na Protasi (walifariki Milano, Italia, karne ya 2 au ya 3) walikuwa ndugu pacha waliouawa kutokana na imani yao ya Kikristo wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Kifodini cha Wat. Gervasi na Protasi. Mchoro mdogo wa karne XIV.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 19 Juni[2] au 14 Oktoba.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.