Gliseri wa Antiokia
Gliseri wa Antiokia (alifariki Antiokia, leo nchini Uturuki) alikuwa shemasi aliyefia dini ya Ukristo wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Januari[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |