Godfredi wa Amiens
Godfredi wa Amiens, O.S.B. (pia Godfrey, Godefroy, Geoffroy; Soissons, 1066 - Soissons, 8 Novemba 1115) alikuwa askofu wa Amiens, leo nchini Ufaransa[1].
Kabla yake kwa miaka mitano alikuwa mmonaki na abati. Baadaye aliteseka sana katika kupatanisha watawala na wananchi wa mji huo na katika kurekebisha maadili ya wakleri na waumini kwa jumla [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ The oldest catalogue of Amiens's bishops exists in a late twelfth-century collection of the works of Robert of Torigny (J.S. Ott, "Urban space, memory, and episcopal authority: The bishops of Amiens in peace and conflict, 1073-1164", Viator 31.3, 2000).
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/76750
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- (Kifaransa) Essai sur Saint Geoffroy, évêque d'Amiens - Guérard - 1843
- (Kifaransa) Histoire de la ville d'Amiens depuis les gaulois jusqu'à nos jours - R.de Hyacinthe Dusevel - 1848 - Amiens (France) - Page 259 - (Gallica)
- (Kifaransa) Le livre des saints et des prénoms - Alain Guillermou - 1976 - Page 146
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |