Grace Akello

Grace Akello.

Grace Akello (alizaliwa mwaka 1950) ni mshairi, mwandishi wa insha na mwanasiasa toka nchi ya Uganda[1], pia ni balozi wa Uganda nchini India [2][3]

Maisha ya awali na elimuEdit

Grace Akello alizaliwa karibu na Soroti, na kupata elimu yake katika chuo kikuu cha Makerere University, Kampala.

Mwaka 1979, aliwahi kuishi nchini Tanzania kama mkimbizi baada ya kuikimbia nchi yake ya Uganda wakati wa utawala wa Idi Amin.

Kazi ZakeEdit

  • Iteso Thought Patterns in Tales, 1975
  • My Barren Song. Dar es Salaam, Tanzania: Eastern African Publications, 1979
  • Self Twice-Removed: Ugandan Woman, London: Change International Reports, 1982

Maisha BinafsiEdit

Akello alifunga ndoa mwaka 1983. Yeye pamoja na mume wake wana watoto wanne ambao wanaishi nchi ya Kenya.[1]

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Akello kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.