Gregori wa Spoleto

Gregori wa Spoleto alikuwa padri aliyefia dini ya Ukristo katika mji wa Spoleto, Italia tarehe 24 Desemba 304 wakati wa dhuluma ya kaisari Diocletian.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, lakini pia tarehe nyingine kadiri ya mahali.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gregori wa Spoleto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.