Gudene
Gudene (pia: Gidina; alifariki Karthago, leo nchini Tunisia, 27 Juni 203) alikuwa bikira Mkristo aliyeteswa na hatimaye kuuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Severus.
Tazama pia Edit
Tanbihi Edit
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |