Gwenaeli
Gwenaeli (pia: Gwenhael, Gwenael, Guénaël, Gwenaël, Guénault, Guénaud; Ergué-Gabéric, Bretagne, karne ya 6 - Caudan, Bretagne, 590 hivi) alikuwa mmonaki[1] anayetajwa kama abati wa pili wa monasteri ya Landévennec nchini Ufaransa, baada ya mwanzilishi Vinvaleo [2].
Mwenyewe alianzisha monasteri nyingine tatu na kuzirekebisha hamisini hivi[3] .
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |