Gwido wa Pomposa, O.S.B. (Ravenna, Romagna, 970 - Fidenza, Emilia, 31 Machi 1046) alikuwa mkaapweke, halafu abati wa Kibenedikto nchini Italia aliyekusanya wafuasi wengi na kujitahidi kujenga upya patakatifu mbalimbali, alijitosa kusali na kuadhimisha liturujia, akielekeza mawazo yake mbinguni tu.

Mchoro wa ukutani wa Mt. Gwido, monasteri ya Pomposa, Italia.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 31 Machi[1].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • P. Laghi, San Guido, abbate di Pomposa, in "Analecta Pomposiana", III (1967), pp. 7-107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.