Hedwiga wa Poland

Malkia Hedwiga leo anaheshimiwa kama mtakatifu.
Ngao yake.
Vazi maalumu la ibada la Jadwiga.

Hedwiga (kwa Kijerumani Hedwig, kwa Kipolandi Jadwiga, linatamkwa jadˈviɡa) aliishi tangu mwaka 1373/1374 hadi 17 Julai 1399).

Kuanzia mwaka 1384 hadi kifo chake alitawala nchi ya Poland akiitwa 'mfalme' badala ya 'malkia', ili kusisitiza kwamba hakuna tu mke wa mtawala halisi[1].

Alizaliwa katika ukoo wa Wakapeti wa Anjou, binti wa mwisho wa mfalme Luis I wa Hungaria na Elizabeti wa Bosnia.[2].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu na msimamizi wa kila malkia. Papa Yohane Paulo II ndiye aliyemtangaza rasmi mwenye heri tarehe 8 Agosti 1986 na mtakatifu tarehe 8 Juni 1997.

PichaEdit

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Hedvigis Rex Polonie: M. Barański, S. Ciara, M. Kunicki-Goldfinger, Poczet królów i książąt polskich, Warszawa 1997, also Teresa Dunin-Wąsowicz, Dwie Jadwigi (The Two Hedwigs)
  2. Norman Davies (2005). Jadwiga (chapter Jogalia). God's Playground: A History of Poland in Two Volumes, Volume 1 94-96. Oxford University Press. Iliwekwa mnamo 10 Aprili 2012.
  3. Psałterz floriański

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: