Helena wa Uswidi
Helena wa Uswidi (kwa Kiswidi: Elin av Skövde; aliuawa Skövde, Västergötland, Uswidi, 31 Julai 1160) alikuwa mjane wa ukoo bora wa Uswidi ambaye aliuawa bila haki.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini kwa kibali cha Papa Aleksanda III (1164)[1][2].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "St Helena's Church, Skövde" (kwa Kiingereza). Skövde, Sweden: Skövde Tourist Centre. Iliwekwa mnamo 2 Juni 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/65100
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |