Honorati wa Milano

Honorati wa Milano (alifariki Genova, Italia Kaskazini, 572) alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 567 hadi kifo chake.

Walombardi walipovamia Italia, aliwaokoa waumini wengi kwa kuwasaidia wahamie Genova.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Februari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.