Ernst Ingmar Bergman (14 Julai 191830 Julai 2007) alikuwa mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa Kiswidi. Yasemekana kwamba Bergman ndiye mwanzilishi na mjuzi zaidi wa kutengeneza filamu za kisasa.

Ingmar Bergman

Ingmar Bergman
Amezaliwa 14 Julai 1918
Amekufa 30 Julai 2007
Kazi yake mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa Kiswidi.

Watengenezaji wengi wa filamu duniani wamekiri kwamba kazi zao zimeathiriwa na kazi za Bergman, baadhi yao Wamarekani Woody Allen na Robert Altman, mwongozaji filamu wa Urusi Andrei Tarkovsky na mwongozaji filamu wa Japani Akira Kurosawa.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ingmar Bergman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.