Ipasi wa Gangra (alifariki mkoani Paflagonia, leo nchini Uturuki, 345 hivi) alikuwa askofu aliyefia dini kwa kupigwa mawe na wafuasi wa Novatianus[1][2].

Mchoro mdogo wa Mt. Ipasi.

Aliwahi kushiriki mtaguso wa kwanza wa Nisea alipopinga Uario.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Novemba[3] au 31 Machi[4] au 19 Januari.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.