Isaka wa Monteluco

Isaka wa Monteluco (alifariki Monteluco, Umbria, 550 hivi BK) anakumbukwa kama mmonaki kutoka Syria aliyeanzisha monasteri karibu na Spoleto (Italia ya Kati).

Papa Gregori I alimsifu katika kitabu chake Majadiliano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Aprili[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/49230
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.