Isicho na wenzake Josipo, Zosimo, Baralo na Agape (walifariki Antiokia, leo nchini Uturuki, 303 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa katika dhuluma ya Dola la Roma[1].

Isicho alikuwa padri, Josipo shemasi wa Roma na Agape bikira.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.