Jermano na Randoaldo

Jermano na Randoaldo (walifariki Grandfelt, Uswisi, 666/675) walikuwa mmonaki wa Kikolumbani.

Jermano kutoka Trier, Ujerumani alipata kuwa padri akatumwa kama abati katika monasteri mpya. Huko, alipotaka kutetea kwa upole majirani dhidi ya kikosi cha majambazi, alivuliwa nguo na kuchomwa kwa mshale pamoja na Randoaldo.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Februari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.